Natafuta mwanamke anayejielewa

Natafuta mwanamke anayejielewa

Masokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
454
Reaction score
682
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.

Usiwe mfupi, maana napenda mwanamke mwenye mwili ila sio obesity, chura kiasi, ukiwa brown skin Itakuwa poa Sana, ila sio ya carolite,
Uwe mrembo wa kuvutia

SIFA zangu, ni mrefu kiasi 190cm, rangi maji ya kunde,
Nafanya kazi private company.
Karibu inbox tuyajenge
Karibu inbox tuyajenge
 
Wakija wengiwengi huko ma inbox kwako chagua chagua afu wanaobaki nipasie namimi huku
 
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.

Usiwe mfupi, maana napenda mwanamke mwenye mwili ila sio obesity, chura kiasi, ukiwa brown skin Itakuwa poa Sana, ila sio ya carolite,
Uwe mrembo wa kuvutia

SIFA zangu, ni mrefu kiasi 190cm, rangi maji ya kunde,
Nafanya kazi private company.
Karibu inbox tuyajenge
Karibu inbox tuyajenge
Wewe unajielewa kwa kiasi gani?
 
utanipasia mmoja wakija wengi wengi
 
Kama wewe mwenyewe unajitambua basi ni vizuri vinginevyo kila lakheri Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
una bahati mbaya maana hakuna mwanamke anayejielewa
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Back
Top Bottom