Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe.

Mimi sihitaji mtoto kabisa.

Mimi naishi Dar es salaam.

Dini yangu ni mkristo.

Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango wowote wa kuzaa.

Kwa maelezo zaidi, nitumie Direct Message.
 
Hello
 
Dooh kumbe tuko wengi? Sema mimi siyo tu kwamba sihitaji kuzaa bali pia sihitaji mpenzi wala ndoa yaani sihitaji ngono!
Sasa kwanini ulisema unataka mwanamke asiezaa Kama hutaki mpenz Wala ndoa kwann ulete masihara ila okay nikutakie Kila la kheri
 
Sasa kwanini ulisema unataka mwanamke asiezaa Kama hutaki mpenz Wala ndoa kwann ulete masihara ila okay nikutakie Kila la kheri
Wewe mimi ndo nimesema nahitaji mwanamke ambaye hataki kuzaa. Huyo uliemjibu umesoma jina lake ni nani ? Na umeelewa alicho-comment ?
 
Back
Top Bottom