Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Kwa hiyo mkuu huoni umuhimu wwt wa kuwa na mtoto?
Labda unitajie wewe huo umuhimu maana sina mali yoyote kwamba nitakosa mrithi. Kwangu mimi umuhimu wa mtoto ni kama ningekuwa na mali basi zipate mrithi.
 
Siwezi amini eti wanawake wa Tz wote wanataka mtoto
 
Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe.

Mimi sihitaji mtoto kabisa.

Mimi naishi Dar es salaam.

Dini yangu ni mkristo.

Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango wowote wa kuzaa.

Kwa maelezo zaidi, nitumie Direct Message.
Umejaribu masister wa kanisani?
 
Back
Top Bottom