Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

Kwa hiyo mkuu huoni umuhimu wwt wa kuwa na mtoto?
Labda unitajie wewe huo umuhimu maana sina mali yoyote kwamba nitakosa mrithi. Kwangu mimi umuhimu wa mtoto ni kama ningekuwa na mali basi zipate mrithi.
 
Siwezi amini eti wanawake wa Tz wote wanataka mtoto
 
Umejaribu masister wa kanisani?
 
Wale wana imani zao za kidini
Usidanganyike, hakuna mtu asiye na nyege. Kwanini mapadre wanafilana wenyewe kwa wenyewe au walimu wa madrasat ufila watoto/wanafunzi wao? Dini ni usanii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…