Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Dili la kina Manka hili.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka CV yako hapa. Una maduka mangapi mjini! Nje ya maduka, unamiliki biashara gani nyingine! Unamiliki nyumba ngapi za kulala wageni (Lodge)! Una Kitimoto wangapi wa kufuga! Una magari mangapi, nk.
Binafsi ninamiliki Wachaga wawili hapa ambao ni wife material. Hivyo naweza kukuachia huyu mdogo. Ni Mmachame wa Hai. Mtoto anatokea familia ya kitajiri, hivyo hawezi kuoelewa na mchimba chumvi.
Ajiandae TaratibuDili la kina Manka hili.......
Kasoro ya wa changa ni kuua the host, wanapenda pesa kuliko Mme, ila wegi passpoti safi sanaa ila miguu yao loh!! kama tubulaiti na nyuma ni flati skurini........bora Mnyakyusa wanguNatafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza
Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
Ishi nao tu kwa akili mkuu. Na usisahu pia wakati mwingine kuwa nunda. Maana hawa wenzetu, vipaumbele vyao ni tofauti kabisa na vya kwetu.
All in all, Wanawake wa Kichaga hupenda kuolewa na wanaume Wapambanaji/Watafutaji. Ukiwa na Umwinyi mwingi, wanakuacha. Hawapendi kuolewa na wanaume wavivu kwenye utafutaji wa pesa.
Eti wewe ubaki nyumbani, halafu yeye akakutafutie, hilo sahau. Labda ukaoe Mnyakyusa.
Usichaguechague kabila.Naoa mke
Utatamani heri ungekufa na coronaNatafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza
Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
Hai Kuna tajiri gani.....wewe nae ni mshambaWeka CV yako hapa. Una maduka mangapi mjini! Nje ya maduka, unamiliki biashara gani nyingine! Unamiliki nyumba ngapi za kulala wageni (Lodge)! Una Kitimoto wangapi wa kufuga! Una magari mangapi, nk.
Binafsi ninamiliki Wachaga wawili hapa ambao ni wife material. Hivyo naweza kukuachia huyu mdogo. Ni Mmachame wa Hai. Mtoto anatokea familia ya kitajiri, hivyo hawezi kuoelewa na mchimba chumvi.
Habari ya fooNatafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza
Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
We mwenyewe kuandika hujui akutake naniKasoro ya wa changa ni kuua the host, wanapenda pesa kuliko Mme, ila wegi passpoti safi sanaa ila miguu yao loh!! kama tubulaiti na nyuma ni flati skurini........bora Mnyakyusa wangu