Nyetk
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,648
- 1,698
Mie nimefiwa na mume kwa ugonjwa wa kisasa. Ntafaa? Nimerithi maestate na malori ya kubeba mafuta.
I bet. Katoa sherti moja tu: "asiwe tegemezi, full stop". Huwezi jua ye ana nini. Nakutakia kila la heri.