Natafuta mwanamke mwaminifu

Natafuta mwanamke mwaminifu

Mimi ni kijana 30 yrs,mweusi,mrefu ni mtumishi wa umma,Nataka binti ambaye tukielewana vizuri tuoane awe mlefu,anayepatikana mkoa wa mbeya,mcha Mungu,mwaminifu na anayejali
Mkuu wewe hyo sifa ya uaminifu unayo??
 
Njoo Tanga.
Ila nawe uwe mwaminifu.
Maana, Mwanamke au Binti kutoka Tanga, ukimuoa na ukajiheshimu, ukamheshimu na ukampenda bila ku-feki utaishi maisha ya raha mstarehe.

Binafsi,nashukuru sana, mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
 
Poa ni pm
 
Back
Top Bottom