Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Vip mkuu kuna shaka hapo.?duh!
Vip mkuu kuna shaka hapo.?
Sasa wewe uwaite kwa dharau hivyo utegemee wajemkuu mie jana nilitafuta humu kupitia hii thread sijapata kitu.
Warembo wote wa MMU njooni hapa
kila la kheri ukipata
Sasa wewe uwaite kwa dharau hivyo utegemee wajemkuu mie jana nilitafuta humu kupitia hii thread sijapata kitu.
Warembo wote wa MMU njooni hapa
kila la kheri ukipata
haikua bahati yanguSasa wewe uwaite kwa dharau hivyo utegemee waje
Teh teh teh teh pole next time tumia Romantic languagehaikua bahati yangu
ok i will, thank you for the adviceTeh teh teh teh pole next time tumia Romantic language
Sifa zote hizi zangu kweli?oooh thanksok i will, thank you for the advice
you're really nice person
you care for others
you have such a wonderful soul
trust me, you're one in a million
masamakwetu, the world needs people like you.
Watu watanga tupo juu ndege za Obama wasituone waspotspotNjoo Tanga.
Ila nawe uwe mwaminifu.
Maana, Mwanamke au Binti kutoka Tanga, ukimuoa na ukajiheshimu, ukamheshimu na ukampenda bila ku-feki utaishi maisha ya raha mstarehe.
Binafsi,nashukuru sana, mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
Mkaribishe mwambie Mimi msambaaWewe nenda mkoa wa Tanga.
Wadada/Binti/wanawake wapo na hawana matatizo. Kama kweli wewe ni mtu uko makini na unahitaji mke.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi sio bint huoni wenye umri kama wako unawanyanyapaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ila sio unatafuta njia yakula apple kwanafasi kisha unatupa kuleMimi ni kijana 30 yrs, mweusi, mrefu ni mtumishi wa umma, nataka binti ambaye tukielewana vizuri tuoane awe mrefu, anayepatikana mkoa wa Mbeya, mcha Mungu, mwaminifu na anayejali.
Haswaaaa ukitaka upendwe ujione ukopeponi machepele yako yaache ulipotokaHaaa haaaaa haaa.
Sawasawa, mdada.
Tanga raha.
Poise unajua kupamba kwani wewe Mc au[emoji15] [emoji15] [emoji15]ibhututu ,
mkuu huyu hapa Binti kutoka Tanga ( @DorisGabriel,) mtafute hutajuta hakika.
Ushindwe mwenyewe.
Wewe je umeoa tanga[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sio umseme tu mwenzioibhututu Mtafute Doris Gabriel, hutajuta Tanga hiyo.