Natafuta mwanamke mwaminifu

Natafuta mwanamke mwaminifu

Hakuna mtu km huyo. Bora ungesema anayeweza kuficha na kulinda heshima yako. Ila muaminifu ni 3% katika 100%.

All the best.
 
Love with conditions will take you to an epic fail.Truth be told!!!all the best in searching for your Mrs Right
 
Teh teh teh teh pole next time tumia Romantic language
ok i will, thank you for the advice
you're really nice person
you care for others
you have such a wonderful soul
trust me, you're one in a million
masamakwetu, the world needs people like you.
 
Njoo Tanga.
Ila nawe uwe mwaminifu.
Maana, Mwanamke au Binti kutoka Tanga, ukimuoa na ukajiheshimu, ukamheshimu na ukampenda bila ku-feki utaishi maisha ya raha mstarehe.

Binafsi,nashukuru sana, mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
Watu watanga tupo juu ndege za Obama wasituone waspotspot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni kijana 30 yrs, mweusi, mrefu ni mtumishi wa umma, nataka binti ambaye tukielewana vizuri tuoane awe mrefu, anayepatikana mkoa wa Mbeya, mcha Mungu, mwaminifu na anayejali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi sio bint huoni wenye umri kama wako unawanyanyapaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ila sio unatafuta njia yakula apple kwanafasi kisha unatupa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom