[emoji1787][emoji1787] umetutenga AHahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!
D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!
Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997
B number ni watoto wa 1980-1990
A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah we mtoto namba unaonekana namba C!
Habari JF
Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane
Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo!
Mimi ni kijana wa miaka 25-30,
Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato changu kiko fixed sana.
Laki 2 tu kwa mwezi
Mimi ni mrefu, mwembamba, sina kitambi wala sina mpango wa kuwa nacho
Nahitaji mwanamke atakaeweza kuwa nami tuendeleze maisha.
Mwanamke yeyote ambaye hataleta dharau juu ya kazi yangu wala mshahara
Mwanamke mvumilivu, mshauri mzuri na pia wife material.
Umri asizidi miaka 25
Mengineyo tutaelezana faragha
Tuwasiliane PM
Sent using Jamii Forums mobile app
PigaPokea sim bas hapy..
Natoka lindoni halaf dakika zinaelekea kukata
Sent using Jamii Forums mobile app
Baharia wa kike![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah we mtoto namba unaonekana namba C!
Umeongea vema sana...that's natureSasa umri wako 25-30 unamaanisha nini? Haujui mwaka uliozaliwa unakadiria?
Weka umri upate muolewaji.
Rusha ndoano kote mtaani na humu...wa humu kwa mshahara huo si rahisi kuwapata..hawa smartphones zao tu ndiyo mshahara huo.
Mwanaume kama unataka kuishi maisha ya amani oa mwanamke unayeweza kumcontrol. Akishakuwa na akili au mjanja kukuzidi basi atakusumbua saana.
Shurti la mwanamke awe submissive kwako...lakini usiitumie hiyo kama sababu ya kumnyanyasa, hapana.
Kwa hiyo sie wa humu sio submissive?Sasa umri wako 25-30 unamaanisha nini? Haujui mwaka uliozaliwa unakadiria?
Weka umri upate muolewaji.
Rusha ndoano kote mtaani na humu...wa humu kwa mshahara huo si rahisi kuwapata..hawa smartphones zao tu ndiyo mshahara huo.
Mwanaume kama unataka kuishi maisha ya amani oa mwanamke unayeweza kumcontrol. Akishakuwa na akili au mjanja kukuzidi basi atakusumbua saana.
Shurti la mwanamke awe submissive kwako...lakini usiitumie hiyo kama sababu ya kumnyanyasa, hapana.
Hata weza kuwamudu.
Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!
D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!
Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997
B number ni watoto wa 1980-1990
A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Babe ndio nini hiiHahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!
D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!
Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997
B number ni watoto wa 1980-1990
A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah, sipendi ujue [emoji3][emoji3] pua yakoMimi ni bikira, vipi nafaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo namba si mchezo, nimejicheki naona nipo B aisee, umri unaenda kasi sanaa[emoji3][emoji3]Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!
D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!
Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997
B number ni watoto wa 1980-1990
A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hhhhh hapa na navyo kutamani nikikukamata nakutafuna na mifupaMbona unatoa siri zangu
Hizo namba si mchezo, nimejicheki naona nipo B aisee, umri unaenda kasi sanaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Injini mbovu mkuu, no B za zamani mnoo ,now tuko D ujue, na nini apo..?[emoji2960]
Formation mpya, hio kifasihi inaitwa "NOMENCLATURE"