Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!

D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!

Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997

B number ni watoto wa 1980-1990

A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] umetutenga A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta hela!! Mwanamke huna hela umtoe wapi?
Habari JF

Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane

Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo!

Mimi ni kijana wa miaka 25-30,
Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato changu kiko fixed sana.
Laki 2 tu kwa mwezi
Mimi ni mrefu, mwembamba, sina kitambi wala sina mpango wa kuwa nacho

Nahitaji mwanamke atakaeweza kuwa nami tuendeleze maisha.

Mwanamke yeyote ambaye hataleta dharau juu ya kazi yangu wala mshahara
Mwanamke mvumilivu, mshauri mzuri na pia wife material.

Umri asizidi miaka 25

Mengineyo tutaelezana faragha

Tuwasiliane PM

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umri wako 25-30 unamaanisha nini? Haujui mwaka uliozaliwa unakadiria?

Weka umri upate muolewaji.

Rusha ndoano kote mtaani na humu...wa humu kwa mshahara huo si rahisi kuwapata..hawa smartphones zao tu ndiyo mshahara huo.

Mwanaume kama unataka kuishi maisha ya amani oa mwanamke unayeweza kumcontrol. Akishakuwa na akili au mjanja kukuzidi basi atakusumbua saana.

Shurti la mwanamke awe submissive kwako...lakini usiitumie hiyo kama sababu ya kumnyanyasa, hapana.
Umeongea vema sana...that's nature

Kwa hiyo sie wa humu sio submissive?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba E zikitoka niambie mkuu na mimi nitafute mke
Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!

D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!

Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997

B number ni watoto wa 1980-1990

A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!

D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!

Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997

B number ni watoto wa 1980-1990

A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Babe ndio nini hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah D number ni mwanamke mbichi kwa sasa ila A ni wale old school women!

D kwa sasa ndio inatamba hapo unawakuta watoto wa 1998-2005 hapo!

Wale wa namba C tunazungumzia 1991-1997

B number ni watoto wa 1980-1990

A hao ndio wa 1979 kurudi nyuma huko.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo namba si mchezo, nimejicheki naona nipo B aisee, umri unaenda kasi sanaa[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado natafuta..

wanawake wa jf wengi hawako serious.

nimeingia lindoni nikiwa bado sijafikia mwafaka wa hili swala

am not joking ladies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom