Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Kila la kheri huko piyemuDaby keshasema smartphone zetu za gharama kushinda Mapato yako ya mwezi, tuanzie hapo. Mengine tuyamalizie PM
[emoji125][emoji125][emoji125]Khaa, Haya bana enjoy na wifi kubwa ila hicho ni nini kama kinataka ukifungulie kitoke[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, ila safari bado kufika.😅😅😅Kila la kheri huko piyemu
Nikibaki hapa nitakifungulia kitoke!
Apologies accepted mkuu.sifa njema,
Mkuu samahani sana, with all due respect, kweli wewe ni mlinzi??? Maana naona unaweza kuandika kwa ufasaha kabisa mpaka matumizi ya vitu kama i.e unayajua.
No disrespect to walinzi jamani
Habari JF
Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane
Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo!
Mimi ni kijana wa miaka 25-30,
Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato changu kiko fixed sana.
Laki 2 tu kwa mwezi
Mimi ni mrefu, mwembamba, sina kitambi wala sina mpango wa kuwa nacho
Nahitaji mwanamke atakaeweza kuwa nami tuendeleze maisha.
Mwanamke yeyote ambaye hataleta dharau juu ya kazi yangu wala mshahara
Mwanamke mvumilivu, mshauri mzuri na pia wife material.
Umri asizidi miaka 25
Mengineyo tutaelezana faragha
Tuwasiliane PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukianza kuchambua ajira za watu na kuzioanisha na familia zao, basi kuna mambo mengi sana machafu yanatendeka pale wapenzi/wanandoa wawapo mbaliUkishaoa ukienda kazini usiku masela watakua wanapiga story na wife wako
Piga kelele kwa muke ya mlinziiiii
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bro,Nikibaki hapa nitakifungulia kitoke!
Ohhhh pole sana mkuu kwa kunitafuta hivyo.Apologies accepted mkuu.
Ni kweli mimi ni guard, na leo pia nilikuwa katika kampuni ya GuardWorld kwa oral interview baada ya kufaulu written jana.
Mkuu,
Kwa kweli nimekutafuta kwa muda mrefu sana lakini nimekosa mawasiliano yako. Nimemtumia mdada mmoja humu ambaye kwa namna moja ama nyingine mnafahamiana, nikitumai ningeweza kupata kazi ya kuni keep busy, lakin imepita muda sana sijasikia chochote mkuu
Stress za ugum wa maisha na kukosa tumaini zimewaondoa vijana wengi sana, juzi juzi tu Mpauko (RIP) katangulia
Nimeshapitia mengi tu mkuu ambayo yanafanana na ya mkuu mpauko lakini nimejikaza kiume. No job, no help
Napambana na lindo tu kwanza mkuu kwa sasa.
UKIPATA WASAA MKUU NAOMBA TUWASILIANE KWA sifaj02@gmail.com
Samahani lakin kwa kuingiza mada nyingine juu ya nyingine
Regards,
Sifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha dah unazingua kinoma aise..Mimi nina 32 nlikua nahitaj mwenza pia nina ela zangu Wala mshahara wako sintaugusa kama utaweza njoo tuanze life
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu habari za muda?Ohhhh pole sana mkuu kwa kunitafuta hivyo.
Nimtetee mjumbe wako, ni kweli alifika kwangu na kunieleza uhitaji wa huyo member (supposedly ni wewe).
Kiukweli mkuu nisamehe na nadhani utanielewa, it has not been easy especially in here kwenye suala zima la kujuana na watu. Sio watu wote wamekuwa wastaarabu haswa baada ya kuwapatia mawasiliano yetu.
Anyway, let me find a way and I will try to contact you (I don't promise though).
All in all, you seem to be a fighter.
Hahaahhaah we fala wa arusha kumbe ndo ulisoma huu uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tukutane Arusha hotel badae
Hahaahhaah we fala wa arusha kumbe ndo ulisoma huu uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tukutane Arusha hotel badae
Sent using Jamii Forums mobile app