Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

sifa njema,
Mkuu samahani sana, with all due respect, kweli wewe ni mlinzi??? Maana naona unaweza kuandika kwa ufasaha kabisa mpaka matumizi ya vitu kama i.e unayajua.

No disrespect to walinzi jamani
 
sifa njema,
Mkuu samahani sana, with all due respect, kweli wewe ni mlinzi??? Maana naona unaweza kuandika kwa ufasaha kabisa mpaka matumizi ya vitu kama i.e unayajua.

No disrespect to walinzi jamani
Apologies accepted mkuu.
Ni kweli mimi ni guard, na leo pia nilikuwa katika kampuni ya GuardWorld kwa oral interview baada ya kufaulu written jana.

Mkuu,
Kwa kweli nimekutafuta kwa muda mrefu sana lakini nimekosa mawasiliano yako. Nimemtumia mdada mmoja humu ambaye kwa namna moja ama nyingine mnafahamiana, nikitumai ningeweza kupata kazi ya kuni keep busy, lakin imepita muda sana sijasikia chochote mkuu

Stress za ugum wa maisha na kukosa tumaini zimewaondoa vijana wengi sana, juzi juzi tu Mpauko (RIP) katangulia

Nimeshapitia mengi tu mkuu ambayo yanafanana na ya mkuu mpauko lakini nimejikaza kiume. No job, no help

Napambana na lindo tu kwanza mkuu kwa sasa.

UKIPATA WASAA MKUU NAOMBA TUWASILIANE KWA sifaj02@gmail.com

Samahani lakin kwa kuingiza mada nyingine juu ya nyingine

Regards,
Sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari JF

Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane

Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo!

Mimi ni kijana wa miaka 25-30,
Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato changu kiko fixed sana.
Laki 2 tu kwa mwezi
Mimi ni mrefu, mwembamba, sina kitambi wala sina mpango wa kuwa nacho

Nahitaji mwanamke atakaeweza kuwa nami tuendeleze maisha.

Mwanamke yeyote ambaye hataleta dharau juu ya kazi yangu wala mshahara
Mwanamke mvumilivu, mshauri mzuri na pia wife material.

Umri asizidi miaka 25

Mengineyo tutaelezana faragha

Tuwasiliane PM

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukishaoa ukienda kazini usiku masela watakua wanapiga story na wife wako
Piga kelele kwa muke ya mlinziiiii

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukishaoa ukienda kazini usiku masela watakua wanapiga story na wife wako
Piga kelele kwa muke ya mlinziiiii

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tukianza kuchambua ajira za watu na kuzioanisha na familia zao, basi kuna mambo mengi sana machafu yanatendeka pale wapenzi/wanandoa wawapo mbali

Mfano:
Ukitizama wengi wanaoliwa kimasihara kule kwenye uzi wa mkuu rikiboy, sijaona wake wa mlinzi wakitajwa tajwa sana.
Japo haidhihirishi kuwa hawaliwi nje

Mkuu uaminifu katika ndoa una mizizi mirefu sana, kuanzia namna mwanaume anavyotengeneza mahusiano ya ndani na mkewe,
Jinsi wanavyokabiliana na changamoto katili za maisha kwa pamoja ikiwemo ulezi wa familia.

kuelezana ukweli pale shida zitokeapo na namna ya kuzitatua bila mikwaruzano.

Yote haya hudumisha ndoa na kupunguza uhatari wa kuchapiwa nje

All in all, yakitokea hayo, tutaangalia namna ya kuvumiliana.

Only God is perfect
The rest will be Judged by the almight

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apologies accepted mkuu.
Ni kweli mimi ni guard, na leo pia nilikuwa katika kampuni ya GuardWorld kwa oral interview baada ya kufaulu written jana.

Mkuu,
Kwa kweli nimekutafuta kwa muda mrefu sana lakini nimekosa mawasiliano yako. Nimemtumia mdada mmoja humu ambaye kwa namna moja ama nyingine mnafahamiana, nikitumai ningeweza kupata kazi ya kuni keep busy, lakin imepita muda sana sijasikia chochote mkuu

Stress za ugum wa maisha na kukosa tumaini zimewaondoa vijana wengi sana, juzi juzi tu Mpauko (RIP) katangulia

Nimeshapitia mengi tu mkuu ambayo yanafanana na ya mkuu mpauko lakini nimejikaza kiume. No job, no help

Napambana na lindo tu kwanza mkuu kwa sasa.

UKIPATA WASAA MKUU NAOMBA TUWASILIANE KWA sifaj02@gmail.com

Samahani lakin kwa kuingiza mada nyingine juu ya nyingine

Regards,
Sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhhh pole sana mkuu kwa kunitafuta hivyo.

Nimtetee mjumbe wako, ni kweli alifika kwangu na kunieleza uhitaji wa huyo member (supposedly ni wewe).

Kiukweli mkuu nisamehe na nadhani utanielewa, it has not been easy especially in here kwenye suala zima la kujuana na watu. Sio watu wote wamekuwa wastaarabu haswa baada ya kuwapatia mawasiliano yetu.

Anyway, let me find a way and I will try to contact you (I don't promise though).

All in all, you seem to be a fighter.
 
mkuu habari za muda?
samahani kama nitakukwaza,
kuanzia jumatatu ijayo nitakuwa jijini Dar.
kama kutakuwa na nafasi naomba tuwasiliane niwasilishe cv

siku njema na pole kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom