Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

Awe na sifa zifuatazo
  • Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
  • Awe Mkristo
  • Awe tayari kupima hiv
  • Awe anaishi dar es salaam kimara na maeneo ya karibu itakua vizuri
  • Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
  • Nina miaka 33
  • Kazi; duka kariakoo
  • Sina mtoto
Mkuu ongezea form for awe alipata div 1 form six div 2 chuo GPA 3.5 Kuendelea utanishukur badae
 
Back
Top Bottom