S subaibat Member Joined Dec 12, 2024 Posts 16 Reaction score 10 Aug 6, 2025 Thread starter #41 MR KUO said: Unatafuta mke aliye tayari kuishi na wanao au housegirl? Any way kila la kher kaka. Click to expand... Natafuta mke wa kuishi na Mimi, wanetu na House girl
MR KUO said: Unatafuta mke aliye tayari kuishi na wanao au housegirl? Any way kila la kher kaka. Click to expand... Natafuta mke wa kuishi na Mimi, wanetu na House girl
S subaibat Member Joined Dec 12, 2024 Posts 16 Reaction score 10 Aug 6, 2025 Thread starter #42 Lovebird said: Mwenye mtoto / watoto na yupo tayari kuungana nawe anakubalikaa? Click to expand... Anakubalika vizuri
Lovebird said: Mwenye mtoto / watoto na yupo tayari kuungana nawe anakubalikaa? Click to expand... Anakubalika vizuri
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Aug 6, 2025 #43 Single Maza akiwa na hao anabezwa,, huyu mwenye watatu inakuaje ?? Kila mtu ashinde mechi zake.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 7, 2025 #44 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Aug 10, 2025 #45 Kila la kheri