Natafuta mwanamke wa kunizalia

Natafuta mwanamke wa kunizalia

Njoooo. Kama si laana nini. Mwishoe tutajua tu. Kwa hiyo,umebadili gia yule wa kukuzalia humtaki tena unataka unigegede mimi? Njooo. Kazi ya kufukua mitalo ipo

Sasa kama unakasirika mm kutafuta wa kumzalisha ! si inamaana unataka ww hyo nafasi
 
Sinimesema uje lakini! Si kisamvu unataka. Njoo

IMG_1219.jpg

Hizi fallopian zimepona ! sitaki kupoteza jasho langu na mtu mimba hushiki
 
🤣🤣🤣 Kuna mlinzi nilikuwa napiga naye stori alikuwa ananisimulia uchafu wao jamaa alisononekea wazazi sana asee. Unajua walinzi wanaonaga uchafu mwingi wa usiku. Daah jamaa kasema usimuone mdada wa chuo ukatamani tu. Maana usiku wanainamishwa sio poa wengine wanachukuliwa hadi kwenye vi noah na alphard weeknd hiyo na madanga yao ni mwendo wa pipe tu wakipelekwa wavuvi ni direct guest au kwenye nyumba za ma sponsor sio poa mkuu usije ukajiloga ukaweka ndani mwanachuo utakufa siku si zako. Hata kulala naye ni kujidhalilisha tu 😆😆😆.

Kaa chonjo jomba
na vinaambukiza UKIMWI kama havina akili nzuri
nashukuru nilisoma UD kipindi nilikuwa domozege
 
😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣. Run for your life 🏃🏃🏃
nilienda Hall 2 nakumbuka, kulikuwa na besidei
basi bana unapanda ngazi kwenye corridor, unakutana na totoz zinatoka kuoga yupo kihasara hasara alaf yeye hana habari
daaaah, Mungu kaniepusha na balaa aisee, udomozege ulinisaidia sana
mpaka nafika eneo la tukio, nimedisa mbaya

huko nako kubambiana, full kulowesha boksa
 
[emoji23][emoji23][emoji3]
 
Acha ujinga una miaka mingapi????mwanamke wa kuzaa naye yupo sehemu yoyote kama mwanaume ndio inabidi ujiulize nani unampa mimba lakin kuomba mwanamke akuzalie in social media its simp life styles just go out tongoza totoz zitakuelewa nafikir umenipata mjuba
 
Mi kuna wanawake kama 9 hivi nishakutana nao wako financial stable hawahitaji ndoa wanahitaji watoto tu… sasa we kudhani kila mtu ana ndoto ya kuolewa ni makosa makubwa sana unaifanyia akili yako
Sasa katika hao wanawake 9 uliokwisha kutana nao na wenye mawazo na malengo kama yako,si ndio ungempata mmoja wao ili mtimize hilo lengo lenu badala ya kuja kutafuta huku JF?
 
Acha ujinga una miaka mingapi????mwanamke wa kuzaa naye yupo sehemu yoyote kama mwanaume ndio inabidi ujiulize nani unampa mimba lakin kuomba mwanamke akuzalie in social media its simp life styles just go out tongoza totoz zitakuelewa nafikir umenipata mjuba

Nimekupataa
 
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
Milioni 30 unazo???
Maana mimba sio kitu Cha kuchezea Kama kishundu au mjegeje
 
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
Kila la kerih
 
Back
Top Bottom