Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
-
- #81
Njoooo. Kama si laana nini. Mwishoe tutajua tu. Kwa hiyo,umebadili gia yule wa kukuzalia humtaki tena unataka unigegede mimi? Njooo. Kazi ya kufukua mitalo ipo
Sinimesema uje lakini! Si kisamvu unataka. NjooSasa kama unakasirika mm kutafuta wa kumzalisha ! si inamaana unataka ww hyo nafasi
Sinimesema uje lakini! Si kisamvu unataka. Njoo
na vinaambukiza UKIMWI kama havina akili nzuri🤣🤣🤣 Kuna mlinzi nilikuwa napiga naye stori alikuwa ananisimulia uchafu wao jamaa alisononekea wazazi sana asee. Unajua walinzi wanaonaga uchafu mwingi wa usiku. Daah jamaa kasema usimuone mdada wa chuo ukatamani tu. Maana usiku wanainamishwa sio poa wengine wanachukuliwa hadi kwenye vi noah na alphard weeknd hiyo na madanga yao ni mwendo wa pipe tu wakipelekwa wavuvi ni direct guest au kwenye nyumba za ma sponsor sio poa mkuu usije ukajiloga ukaweka ndani mwanachuo utakufa siku si zako. Hata kulala naye ni kujidhalilisha tu 😆😆😆.
Kaa chonjo jomba
nilienda Hall 2 nakumbuka, kulikuwa na besidei😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣. Run for your life 🏃🏃🏃
Aweze kutunza siri
Unatafuta incubator? Sasa si uzae na huyo mtu wako? Naona Single mother is in the making[emoji17]
Hakuna siri ya watu wawili
nilienda Hall 2 nakumbuka, kulikuwa na besidei
basi bana unapanda ngazi kwenye corridor, unakutana na totoz zinatoka kuoga yupo kihasara hasara alaf yeye hana habari
daaaah, Mungu kaniepusha na balaa aisee, udomozege ulinisaidia sana
mpaka nafika eneo la tukio, nimedisa mbaya
huko nako kubambiana, full kulowesha boksa
Au mzee ndoa haijaleta majawabu na sasa unaamua kutest binduki kama inasukuma ndani?😅Temeke khaaah
Sasa katika hao wanawake 9 uliokwisha kutana nao na wenye mawazo na malengo kama yako,si ndio ungempata mmoja wao ili mtimize hilo lengo lenu badala ya kuja kutafuta huku JF?Mi kuna wanawake kama 9 hivi nishakutana nao wako financial stable hawahitaji ndoa wanahitaji watoto tu… sasa we kudhani kila mtu ana ndoto ya kuolewa ni makosa makubwa sana unaifanyia akili yako
Acha ujinga una miaka mingapi????mwanamke wa kuzaa naye yupo sehemu yoyote kama mwanaume ndio inabidi ujiulize nani unampa mimba lakin kuomba mwanamke akuzalie in social media its simp life styles just go out tongoza totoz zitakuelewa nafikir umenipata mjuba
Advance unatoa sh ngapi kabla ya kusex mkuu?
Milioni 30 unazo???Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.
Makubaliano
- Nitatunza mtoto
- Nitahudumia
- Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
- Hakuna kuoana mi na mtu wangu
- Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo
Vigezo vingine
- Asiwe mke wa mtu
- Awe single mother au msichana sawa tu
- Aweze kutunza siri
Kila la kerihMwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.
Makubaliano
- Nitatunza mtoto
- Nitahudumia
- Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
- Hakuna kuoana mi na mtu wangu
- Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo
Vigezo vingine
- Asiwe mke wa mtu
- Awe single mother au msichana sawa tu
- Aweze kutunza siri
Mgumba huyo shauri zakouna shika mimba kwanza??[emoji3][emoji3]usije ukanilia hela zangu bure