Yupo kama upo serious npMimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri kuanzia miaka 23 had 27 awe mkristo na awe mcha MUNGU. Kwa yeyote aliye tayari na aliye serious ani pm plz. Swal lolte litajibiwa.
Hivi mcha mungu ni yupi? Mlikole?Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri kuanzia miaka 23 had 27 awe mkristo na awe mcha MUNGU. Kwa yeyote aliye tayari na aliye serious ani pm plz. Swal lolte litajibiwa.
hpna si mlokole ila ni mtu wa din yoyote ambaye ana hofu ya MUNGUHivi mcha mungu ni yupi? Mlikole?
kwanza home nmetoka mda sana mkuumkuu huko uliko toka si nafamilia? au unataka kipozeo uwapo mbali na mkeo?
na huyo mwanamke anayeangalia hela si mwanamke. Kama wanaangaliq hela ukwel mm si tajir.Wanawake wa kuoa wamejaa tele, hela yako tu..... MCHAWI PESA wenyewe watakuja waremboz uwaoe
Sijamaanisha uwe tajiri hela za jawaida tu ila uwe unauwezo wa kuimudu familia yako hapo baadae, [emoji50] [emoji52] [emoji52]na huyo mwanamke anayeangalia hela si mwanamke. Kama wanaangaliq hela ukwel mm si tajir.
ok poa. all the best !!!!kwanza home nmetoka mda sana mkuu
had nmeamua kuchukua huu uamuz ina maana nmeshajipima nkqjua nna uwezo wa kumudu familia mkuu na ndo mana nmechelewa aiseSijamaanisha uwe tajiri hela za jawaida tu ila uwe unauwezo wa kuimudu familia yako hapo baadae, [emoji50] [emoji52] [emoji52]
majanga katika mapenzi ni funzo na kqma hujawah pitia misukosuko ya mapenz ujue ww bado hujqpatq funzo usikate tamaa unaweza kuja kukutana na mtu nq ukasahau yote ndgu.Mh hiv kwa niliyopitia ntakaa nipende kweli. Hv nyie wanaume had mnatafuta jf inamaana kote huko bado. Aiseee
Hapana. ujue mm siamin ule msemo unaosema et huwez pata mchumba kwenye mitandao ya kijamii, si wote walioko huku ni matapel wengine ni wastaarabu na wanajitambua sema tu hawajapata mtu unaweza ukatafyta hata kanisan na bdo ukapata mtu siye hamnaga sehemu maalum ya kutafuta mchumba cha msing ni kumuomba tu MUNGU uangukie sehemu sahihi.Huku if sidhan kam kuwa wa kuoa. Matapeli tu wamejaa... Tafuta uko uko kwwny jamii yako