Natafuta mwanamke wa kuoa (serious)

Natafuta mwanamke wa kuoa (serious)

hope hope

Senior Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
138
Reaction score
74
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri kuanzia miaka 23 had 27 awe mkristo na awe mcha MUNGU. Kwa yeyote aliye tayari na aliye serious ani pm plz. Swal lolte litajibiwa.
 
Yupo kama upo serious np
 
niko serious mkuu umri huu siwez fanya ujinga kwan ni mtu mzima sasa aise
 
mkuu huko uliko toka si nafamilia? au unataka kipozeo uwapo mbali na mkeo?
 
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri kuanzia miaka 23 had 27 awe mkristo na awe mcha MUNGU. Kwa yeyote aliye tayari na aliye serious ani pm plz. Swal lolte litajibiwa.
Hivi mcha mungu ni yupi? Mlikole?
 
uko serious? ntumie namba zako pm kama uko serious
 
Wanawake wa kuoa wamejaa tele, hela yako tu..... MCHAWI PESA wenyewe watakuja waremboz uwaoe
 
Huku if sidhan kam kuwa wa kuoa. Matapeli tu wamejaa... Tafuta uko uko kwwny jamii yako
 
na huyo mwanamke anayeangalia hela si mwanamke. Kama wanaangaliq hela ukwel mm si tajir.
Sijamaanisha uwe tajiri hela za jawaida tu ila uwe unauwezo wa kuimudu familia yako hapo baadae, [emoji50] [emoji52] [emoji52]
 
Mh hiv kwa niliyopitia ntakaa nipende kweli. Hv nyie wanaume had mnatafuta jf inamaana kote huko bado. Aiseee
 
had nmeamua kuchukua huu uamuz ina maana nmeshajipima nkqjua nna uwezo wa kumudu familia mkuu na ndo mana nmechelewa aise
 
Mh hiv kwa niliyopitia ntakaa nipende kweli. Hv nyie wanaume had mnatafuta jf inamaana kote huko bado. Aiseee
majanga katika mapenzi ni funzo na kqma hujawah pitia misukosuko ya mapenz ujue ww bado hujqpatq funzo usikate tamaa unaweza kuja kukutana na mtu nq ukasahau yote ndgu.
 
Huku if sidhan kam kuwa wa kuoa. Matapeli tu wamejaa... Tafuta uko uko kwwny jamii yako
Hapana. ujue mm siamin ule msemo unaosema et huwez pata mchumba kwenye mitandao ya kijamii, si wote walioko huku ni matapel wengine ni wastaarabu na wanajitambua sema tu hawajapata mtu unaweza ukatafyta hata kanisan na bdo ukapata mtu siye hamnaga sehemu maalum ya kutafuta mchumba cha msing ni kumuomba tu MUNGU uangukie sehemu sahihi.
 
Back
Top Bottom