Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Mtumwa wa ukweli, katika swala zima la mwanamke wa kuoa, umeweka kigezo no 1. kama elimu, unahasara katika ndoa yako, either kama huko serious, ndoa haina chuo, ndoa haina mwalimu, ndoa haina mkufunzi bali ndoa njema utaipata kama utapata mwanamke anayemcha Mungu tu basi, kuna faida gani kupata mwanamke form six, then ukimuuliza kitu anakushikia kiuno? Tafuta anayemuogopa Mungu kwanza, vigezo vingine vyote vinapatikana tu, weupo huo unanunuliwa dukani lakini si hekima, utu, na maarifa.
kuna mtu alisema humu ndani watu wanaishi maisha ya kwenye tamthilia.
Naanza kuamini sasa.