Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Mtumwa wa ukweli, katika swala zima la mwanamke wa kuoa, umeweka kigezo no 1. kama elimu, unahasara katika ndoa yako, either kama huko serious, ndoa haina chuo, ndoa haina mwalimu, ndoa haina mkufunzi bali ndoa njema utaipata kama utapata mwanamke anayemcha Mungu tu basi, kuna faida gani kupata mwanamke form six, then ukimuuliza kitu anakushikia kiuno? Tafuta anayemuogopa Mungu kwanza, vigezo vingine vyote vinapatikana tu, weupo huo unanunuliwa dukani lakini si hekima, utu, na maarifa.

kuna mtu alisema humu ndani watu wanaishi maisha ya kwenye tamthilia.
Naanza kuamini sasa.
 
ni kweli lazima maisha yaendelee hata kama kutatokea nini, nashukuru kwa ushauri wenu ila hadi sasa matokeo ni bila bila, mimi sina utani katika hili, namaanisha kabisa, nasaka mwandani, mnaoleta utani siwaelewi, matokeo nitawapeni, pia nilisahau kigezo cha umri, awe kati ya 20-26.

Please usiache kurudi kutupa ushuhuda jamani...tunatamani kusikia matokeo! Nakutakia kila la heri!
 
Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, imenibidi nije hapa jukwaani ili kama kutakuwa na matatizo ya mtu kama mimi basi tuweze kujiunganisha. Nipo serious katika hili na hakuna utani hata kidogo. Natafuta mke mwenye sifa hizi.
1. elimu kuanzia form 6
2. awe mrefu kiasi na si mfupi sana
3. awe mnene mwenye shape nzuri inayovutia
4. awe mkiristo
5. awe tayari kufunga ndoa kanisa langu
6. awe mweupe au langi ya maji ya kunde
7. awe mwaminifu katika mapenzi
8. awe tayari kwenda kupima afya.

mimi ni mrefu, mweupe kiasi na nina shahada moja.

aliye tayari tuwasiliane kwa email hii mtumwamtumwa@yahoo.com

Ninae niece wangu mwenye sifa zote hizo lakini ni mweusi tena weusi wake ni ule wa mpingo sasa inakuwaje?
 
Back
Top Bottom