Uncertainty
Member
- Jan 23, 2012
- 70
- 27
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huna lolote unahitaji mgegedo tu hapoKama Heading inavyosema....Natafuta Mwanamke wa Kumuoa!
Sifa zangu
dini: Mkristo
Mkoa:Arusha
Elimu: Darasa la Tano (Nilikataa shule)
Rangi: Sio mweupe sana
Umri :22
Sifa za Nimtakaye!
Dini: Yeyote
Mkoa:Wowote
Elimu: Degree Kuja chini
Rangi: Mweupee
Umri: Kuanzia 24
Onyo: Mimi sina Hela, sina Nyumba, Sina Gari, Pikipiki wala Baiskeli!
Mwanamke ambaye atataka kuanza Maisha na Mimi katika Hii Hali Duni aje PM!
Natanguliza Shukrani Zangu za Dhati!