Natafuta Mwanamke wa Kuoa!

Natafuta Mwanamke wa Kuoa!

Kama Heading inavyosema....Natafuta Mwanamke wa Kumuoa!

Sifa zangu
dini: Mkristo
Mkoa:Arusha
Elimu: Darasa la Tano (Nilikataa shule)
Rangi: Sio mweupe sana
Umri :22

Sifa za Nimtakaye!

Dini: Yeyote
Mkoa:Wowote
Elimu: Degree Kuja chini
Rangi: Mweupee
Umri: Kuanzia 24

Onyo: Mimi sina Hela, sina Nyumba, Sina Gari, Pikipiki wala Baiskeli!
Mwanamke ambaye atataka kuanza Maisha na Mimi katika Hii Hali Duni aje PM!

Natanguliza Shukrani Zangu za Dhati!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huna lolote unahitaji mgegedo tu hapo
 
Aisee mbona wanawake hamji PM Niwaoee hahahaaa
 
Back
Top Bottom