Natafuta Mwanamke wa Kuoa!

Natafuta Mwanamke wa Kuoa!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Kama Heading inavyosema....Natafuta Mwanamke wa Kumuoa!

Sifa zangu
dini: Mkristo
Mkoa:Arusha
Elimu: Darasa la Tano (Nilikataa shule)
Rangi: Sio mweupe sana
Umri :22

Sifa za Nimtakaye!

Dini: Yeyote
Mkoa:Wowote
Elimu: Degree Kuja chini
Rangi: Mweupee
Umri: Kuanzia 24

Onyo: Mimi sina Hela, sina Nyumba, Sina Gari, Pikipiki wala Baiskeli!
Mwanamke ambaye atataka kuanza Maisha na Mimi katika Hii Hali Duni aje PM!

Natanguliza Shukrani Zangu za Dhati!
 
Poa mkuu wanakuja lakin chunga usijichanganye kwa mababy zangu mbitiyaza na jjes
 
Hahah... Eti degree kuja chini,,,,, unaweza kuotea beki tatu hapo
 
Ungeweka kabisa wazi kuwa wewe ni member wa freemason ili akija ajue kabisa, sio upate shida kama kwa yule mwingine!
 
Ungeweka kabisa wazi kuwa wewe ni member wa freemason ili akija ajue kabisa, sio upate shida kama kwa yule mwingine!
Haaaaa ndo huyu alosema mpenzi wake n mlokole anafanya sana maombi
 
Haaaaa ndo huyu alosema mpenzi wake n mlokole anafanya sana maombi
Imagine mtu anakataa mpenzi alie na hofu ya mungu anataka mwenye mambo ya kishetani. Hii dunia ya ajabu sana!
 
Imagine mtu anakataa mpenzi alie na hofu ya mungu anataka mwenye mambo ya kishetani. Hii dunia ya ajabu sana!
Haaaaaa asilimia 80 ya wanaume tuliokwenye mahusiano hatujui tunachotaka ukimpata mwenye chura unataka mwenye rangi nzur ukimpata mwenye rangi nzur unataka mwenye jicho
 
Haaaaaa asilimia 80 ya wanaume tuliokwenye mahusiano hatujui tunachotaka ukimpata mwenye chura unataka mwenye rangi nzur ukimpata mwenye rangi nzur unataka mwenye jicho
Hapo ndo mnapokosea, halafu mnakuja kulalamika baadae kumbe wenyewe mmebugi step
 
Hapo ndo mnapokosea, halafu mnakuja kulalamika baadae kumbe wenyewe mmebugi step
Tunakosea kitu kingine hiki hapa ukimpenda mwanamke si lazima n ye akupende sana sema anatakiwa kukutii kumpenda ni jukumu lako kama mwanaume
 
Yaani wewe LA tano then unamtaka mwenye digrii .........kweli hii Tanzania ya viwonder
 
Tunakosea kitu kingine hiki hapa ukimpenda mwanamke si lazima n ye akupende sana sema anatakiwa kukutii kumpenda ni jukumu lako kama mwanaume
Bora wewe umejua. Kama bado hujaoa make sure hukosei!
 
Bora wewe umejua. Kama bado hujaoa make sure hukosei!
Me bado cjaoa ila nimejifunza kuna wanawake au wanaume inatakiwa waishie moyoni tu ila si wa kufanya nao maisha
 
Kuoa ukiwa na miaka 22 ni kama kuondoka club saa 3 usiku, wakati wenzio ndo wanawaza kuingia.
 
Back
Top Bottom