Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Funza kweli. Hivi maisha yako bado yanabebwa na hayo makaratasi.

Tusitake kutunishiana misuli ya vyeti wala tulipo.
Weka vyeti hapa?. Wachanganue kama hujakimbia humu.
 
hahahah mkuu umenichekesha,labda nikafanye surgery kama Wema Sepetu nipungue..lol..
Aaaaa wakukate utumbo nooo kwakweli bora ufanye diet

Ushawahi kuona video za wanavyo Fanya hivyo plastic surgery unaweza usile nyama

Unatakiwa uwe na roho ngumu kwakweli sikushauri nenda tu hivyo hivyo na uzee huo atakupenda kumbuka amesema umri wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe nitie moyo,nikutane naye aje anianzishie uzi humu...😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Brother samahani bhana tafuta mke nilikuwa nakutikisa tu ili hata dada zetu wakija wajue watakuwa na mtu wa aina gani.

Mimi mwenyewe mke wangu nilimpata Badoo na tukafunga ndoa mwaka 2013. Hivyo nakutakia maisha mazuri ya mahusiano baada ya kumpata yule atakaye kuwa sahihi kwako.

Kila la kheri na utafutaji mwema.
 
nilukua namaanisha akuignore wewe,uko kwenye jukwaa la love connect afu unamkomalia mwanaume mwenzio,,,,haipendezi!
Hawezi kun-ignore nilikuwa namjaza hasira tu apasuke ili wanawake mjue huyo mme wenu yukoje.
 
Brother samahani bhana tafuta mke nilikuwa nakutikisa tu ili hata dada zetu wakija wajue watakuwa na mtu wa aina gani.

Mimi mwenyewe mke wangu nilimpata Badoo na tukafunga ndoa mwaka 2013. Hivyo nakutakia maisha mazuri ya mahusiano baada ya kumpata yule atakaye kuwa sahihi kwako.

Kila la kheri na utafutaji mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Badoo!!!!

2013 ndoa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimsimange Mwingine bila sababu.

Kumwambia atafute anakoabudu kwa hiyo aache kumsiliza Mchungaji wake aanze kuangalia kina Dada? na je kama kwa imani yao hawachangamani hao kina Dada anawaonaje?

Alafu kumwambia huku sio sehemu sahihi sijui mna maana gani? kama anawavizia kina karo ndosi au joisi kiria huko mtaani anawapata wapi kama sio aje huku kujaribu bahati yake?
 
Back
Top Bottom