le professeur
Member
- Jan 31, 2016
- 17
- 17
- Thread starter
- #61
Zero brain.Sasa si uwatafute unamtangazia nani unatafuta mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zero brain.Sasa si uwatafute unamtangazia nani unatafuta mwanamke.
Fanya diet week 1 tu unakuwa na kamwili kama ka hamisa mobetto
Afu kuhusu uzee anza kutumia bio oil,hadi mkijameet unakuwa umenawili kama zari vile
Hahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Where we dare to talk Openly. 😎Jamii Forum
Weka vyeti hapa?. Wachanganue kama hujakimbia humu.
Hahahahaha akili yako haiwezi kumudu hata maneno je utaweza kumudu varangati za wanawake!Zero brain.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Funza kweli. Hivi maisha yako bado yanabebwa na hayo makaratasi.
Tusitake kutunishiana misuli ya vyeti wala tulipo.
Au wewe wale mlokua mnatafutwa na makonda?. Mwanaume unakuaje na vijembe ?
Si ndio maana ni zero brain.
muignore mwaya,analeta siasa wakati jukwaa limeandikwa 'love conect'
Hahahahaha akili yako haiwezi kumudu hata maneno je utaweza kumudu varangati za wanawake!
Dudumizi kweli.
Aaaaa wakukate utumbo nooo kwakweli bora ufanye diethahahah mkuu umenichekesha,labda nikafanye surgery kama Wema Sepetu nipungue..lol..
Unataka mume kumbe?Kwani we mwanamke?.
Hapo atavimba kichwa sana.
Aaaaa wakukate utumbo nooo kwakweli bora ufanye diet
Ushawahi kuona video za wanavyo Fanya hivyo plastic surgery unaweza usile nyama
Unatakiwa uwe na roho ngumu kwakweli sikushauri nenda tu hivyo hivyo na uzee huo atakupenda kumbuka amesema umri wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kun-ignore nilikuwa namjaza hasira tu apasuke ili wanawake mjue huyo mme wenu yukoje.nilukua namaanisha akuignore wewe,uko kwenye jukwaa la love connect afu unamkomalia mwanaume mwenzio,,,,haipendezi!
[emoji23][emoji23][emoji23]Brother samahani bhana tafuta mke nilikuwa nakutikisa tu ili hata dada zetu wakija wajue watakuwa na mtu wa aina gani.
Mimi mwenyewe mke wangu nilimpata Badoo na tukafunga ndoa mwaka 2013. Hivyo nakutakia maisha mazuri ya mahusiano baada ya kumpata yule atakaye kuwa sahihi kwako.
Kila la kheri na utafutaji mwema.
Msimsimange Mwingine bila sababu.Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing
Sent using Jamii Forums mobile app