Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,058
Hongera maana nasikia mitaa hiyo watu wanafanya biasharaKabisa tena ilikuwa bahati maana dah ni stori ndefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera maana nasikia mitaa hiyo watu wanafanya biasharaKabisa tena ilikuwa bahati maana dah ni stori ndefu.
Yah wanauza sana miili yao ila mimi nilimkuta mmoja mlokole na nikapita naye hadi ndani.
Kasema umri wowote lakinitatizo mie kizee,nimempita miaka mingi,afu kibonge ..😳😳😳 naogopa...
Kweli wewe mbao za......Brother samahani bhana tafuta mke nilikuwa nakutikisa tu ili hata dada zetu wakija wajue watakuwa na mtu wa aina gani.
Mimi mwenyewe mke wangu nilimpata Badoo na tukafunga ndoa mwaka 2013. Hivyo nakutakia maisha mazuri ya mahusiano baada ya kumpata yule atakaye kuwa sahihi kwako.
Kila la kheri na utafutaji mwema.
Mkuu umekuja na ID mpya kutafuta kibenten?
He! Hebu angalia hii ID imesajiliwa toka mwaka ganiMkuu umekuja na ID mpya kutafuta kibenten?
Umeigeuza siyo.
Where we dare to talk Openly. [emoji41]
NipoMkuu upogo kumbe
wewe nitie moyo,nikutane naye aje anianzishie uzi humu...😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Nipo
Nipo ndugu. Uuwiii mwenzio sina uhitaji.Umepotea kweli angalia kama unavigezo sogea PM ya mtoa mada
Acha bhana ila hongera sanaNipo ndugu. Uuwiii mwenzio sina uhitaji.
Ahsante.🙏🙏 jioni njema.Acha bhana ila hongera sana
Jioni njema na kwako piahAhsante.[emoji120][emoji120] jioni njema.