Natafuta mwanamke wa kuoa

wakupita

Senior Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
159
Reaction score
97
Vigezo

Umri Kuanzia 32
Elimu at least form six
Kazi:Haijalishi
Umbo at least la kiafrika
Urefu wa kawaida

Alietayari aje PM
 
Umenikosa,Mimi Nina miaka 22

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Umenikosa,Mimi Nina miaka 22

22 Utanisumbua kwa kweli,utataka kwenda miziki ya wasafi sijui wakati mm nasubiria msondo ngoma wikiendi

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Vigezo

Umri Kuanzia 32
Elimu at least form six
Kazi:Haijalishi
Umbo at least la kiafrika
Urefu wa kawaida

Alietayari aje PM
Wakupita kwa kuwa kigezo cha kwanza ni umri wa miaka 32 basi miongoni mwa vigezo vingine ilitakiwa na awe/asiwe na mtoto/watoto, Awe hajawahi kutoa mimba nk nk
 
Hivyo vigezo vyako unataka viwe vya kila mtu!!!
Wakupita kwa kuwa kigezo cha kwanza ni umri wa miaka 32 basi miongoni mwa vigezo vingine ilitakiwa na awe/asiwe na mtoto/watoto, Awe hajawahi kutoa mimba nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…