Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikosa,Mimi Nina miaka 22
22 Utanisumbua kwa kweli,utataka kwenda miziki ya wasafi sijui wakati mm nasubiria msondo ngoma wikiendi
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Ninakuja mchumba.
Yani kama kwenye typing umeniweka hv sipati picha kwenye real life
Duh waswahili bana sasa si jina tuu hilo kama yalivo majina mengine kama yohana
Umenikosa,Mimi Nina miaka 22
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Mweeeh!! Nimekosea au??[emoji134][emoji134][emoji134]
Joined Mar 14, 2011Vigezo
Umri Kuanzia 32
Elimu at least form six
Kazi:Haijalishi
Umbo at least la kiafrika
Urefu wa kawaida
Alietayari aje PM
Yaani nimekusubiri huko PM mpaka basi
Umenikosa,Mimi Nina miaka 22
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Wakupita kwa kuwa kigezo cha kwanza ni umri wa miaka 32 basi miongoni mwa vigezo vingine ilitakiwa na awe/asiwe na mtoto/watoto, Awe hajawahi kutoa mimba nk nkVigezo
Umri Kuanzia 32
Elimu at least form six
Kazi:Haijalishi
Umbo at least la kiafrika
Urefu wa kawaida
Alietayari aje PM
Wakupita kwa kuwa kigezo cha kwanza ni umri wa miaka 32 basi miongoni mwa vigezo vingine ilitakiwa na awe/asiwe na mtoto/watoto, Awe hajawahi kutoa mimba nk nk
Wakupita atajibu vzuri. Siku nyingine ukiuliza swali ishia na alama??? na sio !!!.Hivyo vigezo vyako unataka viwe vya kila mtu!!!