Natafuta mwanamke wa kuoa

kila la heri brother.
 
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini
Hapa umeandika kwa makasiriko, halafu hapo hapo ukajishusha hadhi , kulikuwa na haja gani kutukana Watu wa Dar,

Maisha hayachagui location ndio maana hata wewe unaweza kuwa sio mzaliwa wa mbeya ila umeenda sababu kuna kishikizo/sehemu ya kukuingizia kipato
 
Kiongozi kama unahitaji na nia yakweli ipo, rudi kwenye kitabu chako Cha maisha angalia watu uliowahi kukutana nao kwenye maisha Yako na ukimuona Anza kumfuatilia ujue Yuko wapi, anafanya nn na hizo sifa zingine ulizotaja.
Naamin huyu ndo atakufaa saana kwani mtakuwa nashauku yapamoja, lakini pia yy atahisi itakuwa unampenda kweli maaan mlipotezana na hatimae ukamtafuta.
Mtayafurahia maisha saana niamin mim.
Hawa wanawake wahumu unaweza ukampata ila atakupa shida kuwa kwenye mstari unaoutaka, nasembuse umetaja Kodi ya meza hapo tayari itakuwa imeshajiongeza kuanza ujenzi kwenye kiwanja chake alichopata kwenye mgao wa urithi au alichopewa na mume wake baada ya kuachana.
Tafadhali mkuu naomba unielewe Mimi.
 
Kati ya jambo ambalo.mimi naona haliwezi kunishinda kiasi cha kutafuta mteremko ni kupata mwanamke wa kuoa au kubanjuana nae.

Inashangaza sana kuona umekosa sasa unataka wajilete wenyewe
 
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.
Sema hapa umeandika kwa makasiriko sana mkuu, kulikuwa na haja gani kuwakebehi Watu wa Dar,

Maisha ni popote ambako wanakufaa hata wewe ukipata kazi ya kueleweka utaenda Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…