Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
739
Reaction score
1,195
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.awe tuu ni mtz wa kabila lolote. Mimi sio tajiri ,Wala sio fukara kabisa

kkama utakuwa interested karibu pm ila uwe tayari kupima afya pia, natanguliza shukrani zangu za dhati
 
pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara.awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.
Hapo ndipo ulipofeli.

images (1) (1).jpeg

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Bila kilimanjaro vi smirn off wine kidogo mara moja moja spirit of the nation tutafarijiana vp humo ndani??? Hata mizagamuo na miuno itakua haina ubunifu.
 
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa
Kumfariji na kujenga familia stable.pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara.awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.awe tuu ni mtz wa kabila lolote .mimi sio tajiri ,Wala sio fukara kabisa.kama utakuwa interested karibu pm ila uwe tayari kupima afya pia,natanguliza shukrani zangu za dhati
Ukimpata kati ya wale wanaouza karanga, vipande vya mihogo na nazi utakuwa umepata mke kipenzi, utanikumbuka kwa ushauri huu.
 
Ukimpata kati ya wale wanaouza karanga, vipande vya mihogo na nazi utakuwa umepata mke kipenzi, utanikumbuka kwa ushauri huu.
Akioa kwa sababu ya huruma zaidi atakuwa amejichanganya zaidi maana sio wote wa design hiyo huwa na upendo wa dhati, wengine hukubali ili kujikinga mvua....akipata anakuwa zuwena cha woooteee
 
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa
Kumfariji na kujenga familia stable.pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara.awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.awe tuu ni mtz wa kabila lolote .mimi sio tajiri ,Wala sio fukara kabisa.kama utakuwa interested karibu pm ila uwe tayari kupima afya pia,natanguliza shukrani zangu za dhati
Kila la kheri 🤝
 
Chief kuna huyu hapa,,,,ishu vigezo ndio kipengele

Back
Top Bottom