Natafuta mwanamke wa kuoa

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
739
Reaction score
1,195
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.awe tuu ni mtz wa kabila lolote. Mimi sio tajiri ,Wala sio fukara kabisa

kkama utakuwa interested karibu pm ila uwe tayari kupima afya pia, natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Bila kilimanjaro vi smirn off wine kidogo mara moja moja spirit of the nation tutafarijiana vp humo ndani??? Hata mizagamuo na miuno itakua haina ubunifu.
 
Ukimpata kati ya wale wanaouza karanga, vipande vya mihogo na nazi utakuwa umepata mke kipenzi, utanikumbuka kwa ushauri huu.
 
Ukimpata kati ya wale wanaouza karanga, vipande vya mihogo na nazi utakuwa umepata mke kipenzi, utanikumbuka kwa ushauri huu.
Akioa kwa sababu ya huruma zaidi atakuwa amejichanganya zaidi maana sio wote wa design hiyo huwa na upendo wa dhati, wengine hukubali ili kujikinga mvua....akipata anakuwa zuwena cha woooteee
 
Kila la kheri 🀝
 
Mtaa/wilaya/mkoa unaishi .. wote ni njemba?
Anyways, best wishes.
 
Chief kuna huyu hapa,,,,ishu vigezo ndio kipengele

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…