Maishani2018
Member
- Jul 24, 2017
- 8
- 6
Nimejiajiri sio kazi sema unafanya kazi gani?Hello
Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe mkristu,kabila lolote.
Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
ππWeka na location nikupe binamu yangu na shela alishashona kupunguza gharama.
Mkuu uzi wako watu wameukacha kabisa.Hello
Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe mkristu,kabila lolote.
Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
N kwel nakutaka, khs kazi c ww tayari unayo hvy n sawa na Mm nna kazi mana tutakuwa mwili mmoja πWewe sema unanitaka wewe unazuga tu πΉ
Msimamo ni ule ule tafuta kazi kwanza.!!