Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote, mnene mwembamba ni sawa ila awe na makalio kidogo sio makubwa sanaaa.. kwenye swala la uchumi MIMI SINA NJAA nilisahau hasiwe limbukeni. ninanyumba kali gari zakutembelea, mashamba na kazi nzuri pia ni mcha mungu. nasisitiza hasifate maisha mazuri nahtaji mtu mwenye upendo ambae yupo teyar kuolewa yani awe teyari kuspend life with me sio kuspend money with me but pesa ipo na sisitiza LOVE LOVE LOVE kama wewe ni msaka fursa nitakujua tu in the blink of eye. Karibuni wanawake wanao hitaji ndoa fursa ndo hii.
 
Kaoe huko kwenye mashamba Yako.

Hawa wa humu hawana mda na shama.
shambani wapo vibarua. Mke wangu mtarajiwa yey kama atahitaji kutembelea kusimamia kazi au anapassion na kilimo sio mbaya. Kwa kifupi atakua na machaguo akitaka mambo ya biashara pesa ipo pia kama anataka kuangalia tamthilia home yeye tu.
 
Back
Top Bottom