Natafuta mwanamke wa kuoa

Fursa itapata wenye fursa
 
Wewe huna Njaa Alafu mchamungu inamaana wachamungu wenzako huwaoni hadi unataka kutualibia Dada zetu hapa Jf huna lolote wewe ni Job Less Bin Domozege.
 
Wewe hutafuti ila unaalika, hayo ni mambo mawili tofauti. Kutafuta unalazimika uende, kungojea waje watakuja!
 
Kuna wadada kibao wanatafuta waume humu. Kwanini usikamate mmoja ukatupunguzia nyuzi?
 
Kwa huu mwandiko huwezi kutoboa hatakidogo kuishi na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…