Natafuta mwanamke wa kushea nae mume

Dunia inakwenda kasi sana.
 
Aisee..kwenye dunia hii hii?

Hakika speed ya sasa ktk maisha ya binadamu ni ya 240speed kwenye kona
 

Mbona Hili tatizo alimaliza Mumeo? Alishatafuta huyo Ila vigez to havifanani Na vyako
 
Mumeo anasemaje hapo?
 
Mwambie tu mume wako aongeze mke na yule mwanamke anayetoka nae kwa sasa pamoja na misunderstanding zenu mridhie tu awe mke mwenza. Akiwa official atakuheshimu. Believe me jirani yangu
 
Hii imenikumbusha dada mmoja baada ya majukumu kumzidia (Mtumishi Serikalini) mume akawa hapati muda mwingi wa kuhudumiwa na mkewe, ikabidi mwanamke amtafutie mumewe mke mdogo (mama wa nyumbani) ili yeye awapo busy basi majukumu yote ayamalize mke mdogo. (Wote ni waislamu).
Mume nae karidhia katwaa jiko.
 
Hongera sana dada
Inaonekana dada wa watu na mumewe wanapenda familia/watoto na wabarikiwa mmoja tu na amesema anachangamoto za kiafya. Hajataja hizo changamoto ila inawezekana anaona kuwa mumewe hapati haki yake vya kutosha.
Uamuzi mzuri sana huo dada wa kumtafutia Mumeo kwani huwezi jua ukimuacha atakuletea wa sampuli gani?
 
Si bure huyo mke ana mchepuko hakuna mwanamke wa kufanya upuuzi huo.
 
Daaa wewe dada pepo inakusubiri, wewe ni mwanamke wa pekee sana. Unampenda na kumjali sana mmeo, and you are one in a billion. Ungekuwa mke wangu ningekupa heshima na ningekupenda mpaka uchukie, yaan daaaaaah, nina changamoto km ya mumeo ila mm nimezuiliwa kuoa and nachepuka ovyo naamini kwenye kuchepuka natumia hela nyingi mpka standard ya maisha inashuka
Hapa wanawake niwaambie tu umaskini wa familia husababishwa na wanaume kuchepuka suppose anachepuka mara mbili kwa wiki na kila mchepuko mmoja akitumia hel kwa kujibna sana ni elf 50 kwa maana kwa wiki anatumia laki na kwa mwezi anatumia laki nne hapo bado za kuhonga.fikiria kama ameoa aana yake hawezitumia hela kiasi hicho coz mwanamke naye atakiwa anaingiza hela ndani pia risk ya magonjwa ni kubwa sana huko nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…