Daaa wewe dada pepo inakusubiri, wewe ni mwanamke wa pekee sana. Unampenda na kumjali sana mmeo, and you are one in a billion. Ungekuwa mke wangu ningekupa heshima na ningekupenda mpaka uchukie, yaan daaaaaah, nina changamoto km ya mumeo ila mm nimezuiliwa kuoa and nachepuka ovyo naamini kwenye kuchepuka natumia hela nyingi mpka standard ya maisha inashuka
Hapa wanawake niwaambie tu umaskini wa familia husababishwa na wanaume kuchepuka suppose anachepuka mara mbili kwa wiki na kila mchepuko mmoja akitumia hel kwa kujibna sana ni elf 50 kwa maana kwa wiki anatumia laki na kwa mwezi anatumia laki nne hapo bado za kuhonga.fikiria kama ameoa aana yake hawezitumia hela kiasi hicho coz mwanamke naye atakiwa anaingiza hela ndani pia risk ya magonjwa ni kubwa sana huko nje