Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mungu akuponye haraka uyarudie majukumu yako ya kindoaMimi ni mwanamke nimeolewa Nina mtoto mmja,kutokana na changamoto zangu za kiafya nahitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuwa mke mwenza;uwe na vigezo vifuatavyo
1.ukwasi,uwe pesa ya kujimudu kimaisha.
2.uwe tayari kupima afya
3.uwe na angalau miaka 33 na kuendelea
4.uwe ni mtu unayejiheshimu na kumcha Mungu,usiwe mlevi
5.usiwe mgovi
Daaa wewe dada pepo inakusubiri, wewe ni mwanamke wa pekee sana. Unampenda na kumjali sana mmeo, and you are one in a billion. Ungekuwa mke wangu ningekupa heshima na ningekupenda mpaka uchukie, yaan daaaaaah, nina changamoto km ya mumeo ila mm nimezuiliwa kuoa and nachepuka ovyo naamini kwenye kuchepuka natumia hela nyingi mpka standard ya maisha inashuka
Hapa wanawake niwaambie tu umaskini wa familia husababishwa na wanaume kuchepuka suppose anachepuka mara mbili kwa wiki na kila mchepuko mmoja akitumia hel kwa kujibna sana ni elf 50 kwa maana kwa wiki anatumia laki na kwa mwezi anatumia laki nne hapo bado za kuhonga.fikiria kama ameoa aana yake hawezitumia hela kiasi hicho coz mwanamke naye atakiwa anaingiza hela ndani pia risk ya magonjwa ni kubwa sana huko nje
Wewe ni mwanamke bila shaka, ndo mana unasema hivo. Ungekuwa mwanaue ungbilewa kirhisisanakwaiyo ukioa uyo mwingine ndo utaacha kuchepuka ???unafikiri taama huwa inaisha ama?? kama ulioa ili usichepuke mbona unachepuka??
kuoa wake wengi hakutakufanya uache uzinzi kama uzinzi ni tabia yako ndoa za mitara hazisaidii chochote katika kukuridhisha wewe kwa sababu kama umetamani leo huyu kesho utataka mwingine na mwingine na mwingine zaidi
Ndoa za mitara hazina faida yoyote katika jamii badala yake ndo inaleta madhara sana na haswa kwa watoto watakao zaliwa
Sasa hivi hutaona madhara ila nakuhakikishia itakapotokea mmoja wenu ameaga dunia ndio utajua athari hasi za ndoa za mitara
Kama unataka kurogwa na wanawake ama watoto wako warogwe nenda oa huyo mchepukoo
Sema wanaume wengi hawaangaliagi kesho ya familia yake anaangalia leo hivo vidudu vyenu visivyo na akili ya kuwaza mbali vinawaza kula mbususa ipo siku vitawaponza
Na kukumbusha ukiendekeza njururu hiyo utakuja uuwawe na wanawake
Kuna matatizo ya mgongo sikuhizi wanawake wengi wakijifungua hupata hizo shidaHongera sana dada
Inaonekana dada wa watu na mumewe wanapenda familia/watoto na wabarikiwa mmoja tu na amesema anachangamoto za kiafya. Hajataja hizo changamoto ila inawezekana anaona kuwa mumewe hapati haki yake vya kutosha.
Uamuzi mzuri sana huo dada wa kumtafutia Mumeo kwani huwezi jua ukimuacha atakuletea wa sampuli gani?
Hii imenikumbusha dada mmoja baada ya majukumu kumzidia (Mtumishi Serikalini) mume akawa hapati muda mwingi wa kuhudumiwa na mkewe, ikabidi mwanamke amtafutie mumewe mke mdogo (mama wa nyumbani) ili yeye awapo busy basi majukumu yote ayamalize mke mdogo. (Wote ni waislamu).
Mume nae karidhia katwaa jiko.
Si bure huyo mke ana mchepuko hakuna mwanamke wa kufanya upuuzi huo.
Mmmmmmh kweli duh😂😂😂😂Ni kama yule DC wa pangani alivyomfanyie mmewe kumbe na yeye anatoka na Minister.
Wewe ni mwanamke bila shaka, ndo mana unasema hivo. Ungekuwa mwanaue ungbilewa kirhisisana
NakaziaDunia inakwenda kasi sana.
Kwa ajili ya '3 sum' , au?Mimi ni mwanamke nimeolewa Nina mtoto mmja,kutokana na changamoto zangu za kiafya nahitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuwa mke mwenza;uwe na vigezo vifuatavyo
1.ukwasi,uwe pesa ya kujimudu kimaisha.
2.uwe tayari kupima afya
3.uwe na angalau miaka 33 na kuendelea
4.uwe ni mtu unayejiheshimu na kumcha Mungu,usiwe mlevi
5.usiwe mgovi
Akaachika zen waziri wa H2O akaoa.Hii imenikumbusha dada mmoja baada ya majukumu kumzidia (Mtumishi Serikalini) mume akawa hapati muda mwingi wa kuhudumiwa na mkewe, ikabidi mwanamke amtafutie mumewe mke mdogo (mama wa nyumbani) ili yeye awapo busy basi majukumu yote ayamalize mke mdogo. (Wote ni waislamu).
Mume nae karidhia katwaa jiko.
we sasa ata ukihalalishiwa mke wa piliDaaa wewe dada pepo inakusubiri, wewe ni mwanamke wa pekee sana. Unampenda na kumjali sana mmeo, and you are one in a billion. Ungekuwa mke wangu ningekupa heshima na ningekupenda mpaka uchukie, yaan daaaaaah, nina changamoto km ya mumeo ila mm nimezuiliwa kuoa and nachepuka ovyo naamini kwenye kuchepuka natumia hela nyingi mpka standard ya maisha inashuka
Hapa wanawake niwaambie tu umaskini wa familia husababishwa na wanaume kuchepuka suppose anachepuka mara mbili kwa wiki na kila mchepuko mmoja akitumia hel kwa kujibna sana ni elf 50 kwa maana kwa wiki anatumia laki na kwa mwezi anatumia laki nne hapo bado za kuhonga.fikiria kama ameoa aana yake hawezitumia hela kiasi hicho coz mwanamke naye atakiwa anaingiza hela ndani pia risk ya magonjwa ni kubwa sana huko nje
Ukiweka ubinafsi pembeni utaachana na haya mawazo.Kibaya zaidi wajane ni wengi kuliko wagane
Mnawaachia mizigo tu wake zenu kwa kuendekeza ufuksa
Watoto wanateseka kisa wewe hujisikii aibu na huruma
Kama umelelewa na wazazi wote wawili huwezi elewa hili waulize waliolelewa na mzazi mmoja haswa mama wanajua shida walizopitia
Tamaa zako na raha zako zinakuja watesa watoto wasio na hatia shame on you