Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Pole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???

Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...
Je wajua kuwa mchele hauwi wali mpaka upikwe!!!?
 
Pole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???

Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...
Lahaullah! Sikuwa na taarifa hiyo....babu naomba sapoti yako na bibi kesho tuandamane mpaka kwa Mambosasa ili kumkomboa! [emoji134] [emoji134]
 
Najua mpunga hauwi mchele kabla haujakobolewa...
Ndo alichokosea kunijibu maana kaukimbilia mchele badala ya mpunga na kabla mpunga haujakobolewa yeye kajijibu bila kujua kuna mpunga kabla ya mchele tena upembuliwe kisha upikwe.
 
Umemtaja mke wa mtu hapo[emoji1] [emoji1] ,jamaa atakuotesha mshipa shauri yako
 
Pole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???

Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…