kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Je wajua kuwa mchele hauwi wali mpaka upikwe!!!?Pole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???
Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...