Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Umevutiwa na maandiko yao ama sura/maumbo yao!!!?kama maandiko mbona yako n mazuri kiasi kidogo na kama n sura mbona id zao sio za kweli.tuambie kinaga ubaga umevutiwa na nn kwao ili ufanye uyatakayo...!!!ila kumbuka kuwa sio kila mwana jf ana nia njema na hii jf ama kila mwana jf yupo kwa ajili ya jf ama kila mwana jf yupo kwa ajili ya maslahi endelevu ya jf.
Usilotakiwa ufikiri kwa kinyume chache ni haya yafuatayo:-id ni fake kwa wengi na wachache id zao n real,sio kila kitu humu huwa n kweli kwa ukweli wenyewe ama sio kila kitu humu n uongo kwa uongo wenyewe.kuna maneno mawali tyu humu na yanatumika ipasavyo ama kwa manufaaa ya hayo maneno.Ambayo ni "UKWELI" ama "UONGO".
Una good point of view but somehow umekosea kidogo namna ya kuiwasilisha......Fungua Thread kwa hii idea nzuri uliyonayo.....you will have my support!
 
Ahsante kwa kunipigia pande... Naamini Mzigua90 atakuwa amekuelewa na atachukua hatua madhubuti ya kusogea chumbani kwa babu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amani iwe Pamoja Nanyi!

Navutiwa sana na Jinsi Aspirin alivo na sky eclat , Smart911 alivyo na Mahondaw na pia wengine wengi ambao siwezi kuzijua couple zao!

Kwa kuvutiwa huko nami nimeona ni vema na ni jambo la kumpendeza Mungu ikiwa nami nitapata mwenzangu kupitia humu JF!

Maswala ya Elimu tusiulizane sana (Kwa aliye Tayari), Mimi elimu yoyote utayohitaji ipoo (Mpaka ya dini)😀😀!!

WASIFU WANGU

Below 27
Tall
Rangi Maji ya kunde
Mchangamfu
Mtani pia
Msikivu


Hii ni top 5 List ya ambao kweli wananivutia kwa kiasi fulani kutokana na michango yao ilioenda shule!
Mzigua90
Demiss
Nalendwa
Joanah
Thad


Nipo tayari kuwa na yeyote ilimradi tu awe anajua kutoa company at our free time!
Then ningefurahi zaidi kama amenizidi umri kidogo!

Naamini uzi huu hautoenda bure!.....Ukinielewa PM is there for you!

Stay blessed!

TheMason!

Mke wangu Sky Eclat hebu njoo huku mama, kuna mtu anataka kufuata nyayo zetu.
 
Hali yangu ni hii jirani
28751607_143988286428654_2042167034107658240_n.jpg

jirani hivi si upo singo wewe Numbisa
 
Back
Top Bottom