Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabd umbebe tu kama mwanaoYani ye umri wake mdogo
Kwani ulifungiwa na wenyewe?Mkuu kuwa na Staha
Una good point of view but somehow umekosea kidogo namna ya kuiwasilisha......Fungua Thread kwa hii idea nzuri uliyonayo.....you will have my support!Umevutiwa na maandiko yao ama sura/maumbo yao!!!?kama maandiko mbona yako n mazuri kiasi kidogo na kama n sura mbona id zao sio za kweli.tuambie kinaga ubaga umevutiwa na nn kwao ili ufanye uyatakayo...!!!ila kumbuka kuwa sio kila mwana jf ana nia njema na hii jf ama kila mwana jf yupo kwa ajili ya jf ama kila mwana jf yupo kwa ajili ya maslahi endelevu ya jf.
Usilotakiwa ufikiri kwa kinyume chache ni haya yafuatayo:-id ni fake kwa wengi na wachache id zao n real,sio kila kitu humu huwa n kweli kwa ukweli wenyewe ama sio kila kitu humu n uongo kwa uongo wenyewe.kuna maneno mawali tyu humu na yanatumika ipasavyo ama kwa manufaaa ya hayo maneno.Ambayo ni "UKWELI" ama "UONGO".
Sa hapo ndo itakua shidaItabd umbebe tu kama mwanao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amani iwe Pamoja Nanyi!
Navutiwa sana na Jinsi Aspirin alivo na sky eclat , Smart911 alivyo na Mahondaw na pia wengine wengi ambao siwezi kuzijua couple zao!
Kwa kuvutiwa huko nami nimeona ni vema na ni jambo la kumpendeza Mungu ikiwa nami nitapata mwenzangu kupitia humu JF!
Maswala ya Elimu tusiulizane sana (Kwa aliye Tayari), Mimi elimu yoyote utayohitaji ipoo (Mpaka ya dini)😀😀!!
WASIFU WANGU
Below 27
Tall
Rangi Maji ya kunde
Mchangamfu
Mtani pia
Msikivu
Hii ni top 5 List ya ambao kweli wananivutia kwa kiasi fulani kutokana na michango yao ilioenda shule!
Mzigua90
Demiss
Nalendwa
Joanah
Thad
Nipo tayari kuwa na yeyote ilimradi tu awe anajua kutoa company at our free time!
Then ningefurahi zaidi kama amenizidi umri kidogo!
Naamini uzi huu hautoenda bure!.....Ukinielewa PM is there for you!
Stay blessed!
TheMason!
Shost, kamatia fursa hiyo. Wanasema ukishikwa shikamana [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nimetamani kweli kuwa kapo wako sema umri changamotoo [emoji22]
Ewaaaaa... hakika umesamehewa dhambi zako zote mpaka za kesho kutwa....@mumu babu anakuita kwenye ukaguzi
Unajitoa tu ufaham kama uwoya,na ant EzekielSa hapo ndo itakua shida
Ulitaka awe na miaka 18 kama wewe??Shost, kamatia fursa hiyo. Wanasema ukishikwa shikamana [emoji4] [emoji4] [emoji4]
UPI tena mwenza,vyeti fekii???[emoji15] [emoji15]@mumu babu anakuita kwenye ukaguzi
itapendezaaTatizo sa mie kibonge. Tukitoka ntakua kama mamako mdogo