Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 183
- 266
Vipi mkuu?Aisee
AsanteKila la kheri
Shukrani
Eti Mjomba,hiyo Postgraduate degree ndiyo elimu gani kwenye hii nchi yetu ya Kizimkazi?Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto.
Sifa zake
Dini yoyote.
Umri 25-35
Kabila lolote
Rangi mweupe
Elimu at least secondary education.
Kazi yoyote descent
Awe anaishi DSM
Awe tayari kupima afya
Sifa zangu
Umri 41
Rangi black
Elimu postgraduate degree
Napatikana Dar
Kazi kibarua kwa mhindi
Dini mkiristo
Body mrefu mwembamba
Lengo kubwa ni mtoto ila mengine pia yanawezekana.
Nitafute tuyajenge
Nicheki PM.
Au digitaliticha@gmail.com
JifunzeEti Mjomba,hiyo Postgraduate degree ndiyo elimu gani kwenye hii nchi yetu ya Kizimkazi?
Ninanchofahamu mimi Mjomba wako, kuna Postgraduate diploma eti! Na mara nyingi husomwa ndani ya mwaka mmoja, ukilinganisha na degree ambayo Kibongo bongo huanzia miaka 3 na kuendelea.