Natafuta mwanamke wa kuzaa nae nitunze mtoto tu kuoa siwezi sitaki utumwa

Mnh sikulaumu, sisi as society ndio tunajenga mabomu kama haya.

Sina uhakika ila utakua umezaliwa kutoka broken home, wazazi wako wangekulea kwenye familia ya upendo, usingefikiria hayo.
No ni dizaini ya mwanamke niliempata ameniathiri sana nafsi imeingia nyongo kabisa mfano mtu ambae ni degree holder kiburi ,jeuri,mtu wa kujihesabia haki,hajui kakosea aombe msamaha yamkini anaweza kusema" Basi nisamehe"I HATE llove nataka nizae tu yatosha nitawatunza watoto wanitambue mm baba yao basi Mungu anisamehe
 
Sijui mtoa mada kazaliwa siku gani .... Looooo!
 
Labda alimaanisha insemination...
 
mkuu ,UMEFANIKIWA
 
Kwa hiyo kisa ni mwanamke mmoja..sikia jipe muda wa kujiponya maumivu na mapito unayopitia kuliko hicho unachotaka kukifanya...imagine ukifanikiwa kumzalisha huyo mwanamke halafu azaliwe mtoto wa kike na yeye afanyiwe hicho unachotaka kukifanya utajisikiaje...[emoji58]

sent from paradise
 
Mwanamke mmoja tu amekubadili akili hivyo.
Endelea kutafuta wako wengi wanyenyekevu....usisahau kuwa mnyenyekevu pia
 
Semaga hivyo hivyo tu kwa kuwa hujampata wa kukutuliza. Kuna wanawake huwa hawaonjwi. Unaweza ukatiia mimba yako ukashanga na wewe umeng'ang'ania huko huko mawivu kibao...
 
Wadada Msiwe wepesi wakutoa maneno Mengi sana kwa Huyu Mdau, Mbona kuna Wadada humu Ndani walishakuja kutaka Mtu wakumpa Mimba tu basi na Maisha yaishia hapo. Mbona Hamkurushia maneno makali kiasi hicho...

Kwa hiyo hayo ni Mtazamo wake kwa hiyo Kama wewe huwezi basi kuna wengine wanatamani kuwa katika trend hiyo... Ebu Fikiria ni wangapi ni Single Parent humu Ndani? Je walipenda wawe Single Parent? Si Matokeo yaliyotokana na kutofanan Chemistry za Mahusiano?

Asilimia kubwa ya Wadada humu Ndani Mumewadisaapoint sana Wanaume Japo Wanahitaji Kuwa na Familia, vivyo hivyo kuna asilimia pia ya Wanaume wamekuwa disapointed na Wanawake hivyo never kuhukumu mtu kwa Mtazamo wako.

Hata kama Aliyemuumiza ni Mwanamke Mmoja lakini anayoyaona Mtaani kwa wengine pia yanaweza kumkatisha tamaa .

Kwa hiyo just Piece of advise Kama wewe Mdada huwezi Kuna Mdada mwingine somewhere anaililia hiyo kitu.. Kwa hiyo Usihukumu na kumrushia maneno Mabaya.
 
Mwanamke mmoja tu amekubadili akili hivyo.
Endelea kutafuta wako wengi wanyenyekevu....usisahau kuwa mnyenyekevu pia
Dada it is possible Mtu Mmoja akatoa hukumu ya walio salia. Ni wangapi Wadada mnakuwa disappointed baada ya kuumizwa na Mwanaume mmoja? Wangapi tunawakuta mtaani wanalaani kujiingiza kwenye Mapenzi na wengine wanageuka kuwa wachunaji wakujiuza kisa she was disappointed by one Man somewhere.. Kwa hiyo If it can happen to you ladies it can also happen to the other Side
 
Nenda nchi za duniani mf US uwekewe uterus ya bear halafu ufanyiwe in vitro fertilization utafurahia hapo unazaa mwenyewe no mwanamke wala nini mwenzio Elton John alipogundua kuwa hawezi kujiinvovu na wanawake alipigwa hiyo akazaa mwenyewe
hujanijuzaga haya mambo..ilikuwaje hata mtoto akapatikana?...
 
Vipi kama we nae ungezaliwa kwa njia hiyo unayohitaji
 
tafuta mdada mwenye vigezo uvitakavyo kisha fanya makubaliano naye kwamba akuuzie ova yake..kisha tafuta surrogate mother wa kubeba na kutunza hiyo fertilised ova hadi wakati wa kujifungua...ila hilo jambo sidhani linakubalika tanzania..itakubidi ukatafute huko nchi za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…