Natafuta mwanamke wa kuzaa nae nitunze mtoto tu kuoa siwezi sitaki utumwa

Hahahaaa
 
Imekaa vyema, sema inahitaji maboresho kwenye vigezo na masharti.
Kama unamhitaji akuzalie tu, hakuna haja ya kuorodhesha vigezo vya maji ya kunde mara umbo namba nane.
Halafu ukimpata na akaridhia kukuzalia, hutakiwi kufuatilia kipato wala kazi yake coz the burden and responsibilities of taking care for your baby will be vested upon you and you will be required to process a life insurance.

Otherwise, uombe Mungu umpate ke asiyejitambua lakini kwa mwenye uelewa kamwe hatakubali kirahisi.
 
Am looking for a man to have a child with
 
Haya ndiyo matokeo ya kuongozwa na chama cha kijani
 
Mkuu ni kweli maisha ndoa ni magumu na yanachangamoto lakini mtoto anaitaji malezi na upendo wa baba na mama watoto wanaolelewa na upande mmoja wanakuwaga na shida sana mara nyingi.
Kitu unachokifanya unaona ndo dawa lakini kufanya hivyo unawatengeneza watoto wako maisha mabovu yasiyo na malezi kamili na watakuja kuwa na maisha utafikir hawakuzaliwa,najua unaona kama ni simple kufanya hivyo lakin fuatilia watoto waliolelewa na mzaz mmoja wakoje ukiona poa we endelea na mpango wako najua mwanamke utapata ukitoa hvyo vigezo vyako utafikiri unanunua ng'ombe
Asanteh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…