Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 238
- 272
- Thread starter
- #21
AhsanteUtasubiri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteUtasubiri sana
😂 😂 😂Unataka wakuwowa wa dini gani na umri gani mkuu
Usijali akija pvt nitamuelezaUkitaka kuwapa warembo wa humu andika kazi unayofanya na kipato chako Mkuu.
WANAWAKE WA HUMU WENGI NI MATAPELI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Salute youWanawake wa humu wengi ni Matapeli "TAKE CARE" Mkuu.
Tapeli mwenyewe 😆😆😆😆Ukitaka kuwapa warembo wa humu andika kazi unayofanya na kipato chako Mkuu.
WANAWAKE WA HUMU WENGI NI MATAPELI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ni mawazo yake mkuu😂 😂 😂
princess ariana sio vizuri mbona unamvunja moyo Mtarajiwa?
Salute you bothKila la kheri
Kila la kheri
UsijaliTapeli mwenyewe 😆😆😆😆
Amnaa nmemuuliza tu mana wasije kuja wasiofaa😅 mkaka wa watu kaacha tujiongeze😂 😂 😂
princess ariana sio vizuri mbona unamvunja moyo Mtarajiwa?
Basi nakutakia kila la kheir utapata InshaallahVyovyote tu mimi sijali kama muislamu wajibu wangu kumtunza yeye
InshaAllah Shukran sanaBasi nakutakia kila la kheir utapata Inshaallah
Inawezekana PM ishajaaa tayariAmnaa nmemuuliza tu mana wasije kuja wasiofaa😅 mkaka wa watu kaacha tujiongeze
Tumejaa nammm nikipambania nafasi yangu😂 😂 😂
Inawezekana PM ishajaaa tayari
Usitoe code pleaseTumejaa nammm nikipambania nafasi yangu
Mara pap nakuwa shemegi yake si atanikimbiaUsitoe code please
HahahahaUsitoe code please
😂😂😂Upo wapi
huo umri ni sahihi sana lakni ulitakiwa uwenao 3 mnachagua 1 wa kufa naye au akuuwe wewe!
endelea kupambana
😂 😂 😂Hahahaha