Sina vigezo mimi hapo kwenye elimu dah🥲 nimekosa mume
Eeeh amejua kutubagua wajameniSina vigezo mimi hapo kwenye elimu dah🥲 nimekosa mume
Acha tu yaani, akitokea asiyeangalia elimu na ajira tutagiane😂😂Eeeh amejua kutubagua wajameni
Ooh no, pole babesSina vigezo mimi hapo kwenye elimu dah🥲 nimekosa mume
upo sriasi, Nipo hapa baharia, nipewe muongozo tafadhali, Itakuwa imekaaa poa hiyooooAcha tu yaani, akitokea asiyeangalia elimu
nipo nawewe mama,,😂😂🙌🏾Acha tu yaani, akitokea asiyeangalia elimu na ajira tutagiane😂😂
Duh😂😂Hadi umefika 40 ulikuwa wapi mzee?
Hapa ulishindwa kabisa kuchagua our Next King ?
Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU
Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...www.jamiiforums.com
Maswali ya muhimu kabisa aje kujibuNext King unagari ,umejenga , unaishi mkoa gani , watoto wako unataka wasome shule gani?? Unawatoto au mtoto?? Kwanini huu mtandao unatafuta mke ??
Hapa JF kabla ya kuandika uzi lazima ujikumbushe nyuzi zako za nyuma ili usije kuumbuka...Hadi umefika 40 ulikuwa wapi mzee?
Hapa ulishindwa kabisa kuchagua our Next King ?
Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU
Naomba ushauri wako kati ya hawa wanawake wawili yupi anaweza kuwa sahihi kwangu? MWANAMKE WA KWANZA Ana elimu ya darasa la saba lakini ni mjanja sana maana hata text za kiingereza anajua kusoma na kuandika baadhi ya maneno, amezaliwa 1988 (miaka 36), ana watoto wawili wote wa kike - sio watoto...www.jamiiforums.com
🤣🤣🤣comments zako zinanichekeshaga huku mwishoupo sriasi, Nipo hapa baharia, nipewe muongozo tafadhali, Itakuwa imekaaa poa hiyoooo
Fullstop,kwishaaaaa
Zinakuchekeshaje mbona kawaida🤣🤣🤣comments zako zinanichekeshaga huku mwisho
Ndioo maana hapa asije akamtembeza mke wake na watoto kwa miguu labda wanaenda kanisani,shereheni au wanaenda mahala muhimu eti wanasaga miguu ,mtu aliyejipanga lazima awe na nyumba sio anapangaMaswali ya muhimu kabisa aje kujibu
Unalala saa ngapi? Au hujapata hata anaepumua tuMaswali ya muhimu kabisa aje kujibu
Si ndio 😂Hapa JF kabla ya kuandika uzi lazima ujikumbushe nyuzi zako za nyuma ili usije kuumbuka...