Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

Mume mwema hutoka kwa bwana ila ww nashangaa umejaza masharti kibao ohooo awe na degree [emoji23] wewe unafikiri sote tukiwa wasomi nchi itasonga mbele??
 
Kati ya vigezo vyoote hivyo, kimoja tuu ndio kimeniangusha. Elimu yangu imeishia kwenye Sec za kata.

Daaahh tusio na Elimu tumetengwa ila mpaji Mungu tuu.

kila kheri bhanaa @ Fatiha89, Mrejesho unahitajika.
 
Swadakta mkuu...
 
Naona unamtafuta msomi mwenzio,Sisi akina kayumba tukayumbie mbele kwa mbele...

Basi sawa..
 
Dah! Hapo kwenye degree tu hapo:[emoji35]
 
Kila la heri na baraka shurti muislamu tena mwanasheria. Naye kama hajaridhika na uvaaji wako uko tayari kubadilika kimavazi?

 
kwa uzo sifa unazotaja apo natumain wewe ni mzuri na una umbi zuri...otherwise utaendelea sana kua single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…