Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Una harakaa ...tulia usome bandiko.Makubwa! Mbona wewe hujasema.elim yako na sifa zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una harakaa ...tulia usome bandiko.Makubwa! Mbona wewe hujasema.elim yako na sifa zako
HahahahhaaAcheni mipasho Yy kasema hivyo ukiona huna vigezo tulia sikilizia mvua za dar mida hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acheni mipasho Yy kasema hivyo ukiona huna vigezo tulia sikilizia mvua za dar mida hii
Swadakta mkuu...hahahahahaaa.....ustaadhat wangu nikukumbushe kiti.
Mapenzi sio elmu mama.....mapenzi ni kupendana...
Angalau hata ungesema bs awe na elmu kias flan ya dini na Quran.....bs hapo ningeona unataka mwanaume ajuhai misingi ya ndoa na mapenzi ya mke na mume kwa kufata dini ya kiislam...
Laasivo utapata ambaye kakutaman tu na hajakupenda.
by the way mi ni muislam namalizia degree yangu hapa Muhimbili[emoji16]
Kila lakheri
Naona unamtafuta msomi mwenzio,Sisi akina kayumba tukayumbie mbele kwa mbele...Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake bac Awe tayar kubadilika kimavazi maana napenda mume wangu awe smart saaana
Sifa zangu
Muislam
Miaka ni kati ya 24-27
Elimu, Degree(Sheria
NB:
1.Tafadhali hakikisha una sifa zilizotajwa hapo juu haswa dini maana sitaweza kubadili niliyonayo na ukijiona umezi 36 wala usijisumbue
Karibun PM mume wangu mtarajiwa
Natumaini wote wazima