Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

Aisee, huu uzi nilichelewa kuuona. kila la kheri
 
Mwanasheria unatafta mume kama unavotafta kizipo cha peni kilichoanguka unajielewa kweli ww?
 
Mimi smart sanaa na sifa zote kasoro kigezo cha dini ni mkristu na siwezi kubadilisha dini ya imani yangu
 
Eeh bhana eeh!!! Mambo yamebadilika siku hizi wote tunatafutana
 
we semana muombe Mungu Akupe mume sio mwanaume baadae aje kuwa mume wako,ukisema hivyo unamaana wadau waonje kwanza,hapa kuna waonjaji wengi kuliko waume
Kwahyo akimuomba mungu anaporomoshwa kutoka mbinguni,we bwana wako ulimpataje
 
Elimu ya dini ya kiislamu ndiyo itamuwezesha kuingiza kipato cha kulea familia.
Dini ni chanzo cha umasikini kwa wajinga kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…